Lengo letu

Ni muhimu kwa mafanikio ya Watoto Wetu Tanzania, kwamba watoto kupata elimu, ili waweze kujitegemea wenyewe kimaisha.

goal

Kwa hiyo, lengo letu ni kusaidia watoto kupitia mfumo wa elimu kadiri ya uwezo wetu. Tunajaribu kuwatia moyo watoto kufaulu kiwango cha juu cha elimu ikiwezekana, hata hivyo pia tunamegundua kuwa siyo kila mtu amejaliwa kuwa msomi. Kwa hiyo, pia tunawasaidia na kuwatia moyo watoto wanaopenda kuendelea na masomo ya ujuzi kwa kuwapeleka katika vyuo vya ufundi, kwasababu tunaamini elimu ni ufunguo wa maisha.