Watoto

thechildrenSasa kuna kadri ya watoto 150 wanaopata msaada kupitia WWT na 70 wanaoishi katika kituoni na wengine wapo mashuleni.

Ni muhimu kwa mafanikio ya Watoto Wetu Tanzania, kwamba watoto kupata elimu, ili waweze kujitegemea wenyewe kimaisha.

Sisi sasa tuna watoto ngazi zote hadi ngazi ya chuo kikuu, na lengo letu ni kwamba watoto wote wanakuwa na uwezo wa kukamilisha kiwango cha elimu wakitakacho.

Chagua kichwa cha habari kidodo na ujifunze zaidi baadhi ya watoto na wanavyopokelewa.