Kuchangia

Kama ilivyotajwa hapo awali shirika letu linajitgemea kwa michango. Basi michango ya aina yoyote tutaipokea kwa shukrani kubwa.

Ili Kuhakikisha kwamba shirika lina uwazi katika kiasi kidogo cha fedha mkononi tunaomba michango ya vitu kama chakula, nguo na vifaa vingine tutavipokea. Kwa ada za shule check ziandikwe kwenda shule husika.

Kama hakuna usalama katika kuhamisha ela, pia inawezekana kuchagua njia ya paypal. Hamisho hili la pesa ni salama kabisa. Unaweza kuchagua msaada wa moja kwa moja, hapa unachagua kiasi unachotaka mwenyewe au unaweza kuchagua msaada wa mara kwa mara ampapo pesa itahamishwa kwa mwezi (chaji ya paypal ni 3.9%-ada ya kuhamisha). Watanzania wanaombwa kutumia akaunti ya benki au kufika kituoni ila chaguo la paypal linapitia kwanza katika benki ya Kidenishi na hivyo kuwa a ghali sana.

Recurring Donations

Donation options

Single Donation