Youth Awareness Programme (YAP)

Kituo pia kinashiriki ipasavyo katika jamii, baadhi ya watoto wakubwa wameanzisha umoja wa vijana wenye lengo la kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli mbalimbali za kujitolea wakati wa likizo na kutoa elimu rika. Vijana wa kikundi cha YAP, wanamidahalo na mazungumzo kuhusu demokrasia, haki sawa, haki za mtoto na maswala mengine tofauti kuhusu elimu.

Zaidi ya hayo, watoto wanashiriki katika jamii kupitia Mtandao wa Elimu Tanzania. Hii inawafanya kushiriki katika matukio mbalimbali. Kwa mfano, walishiriki kushinikiza kuwepo elimu bora na kaka mkuu akitoa risala mbele ya zaidi ya watu 500 walioshiriki.

Ili kuwafikia vijana wengi, kikundi cha YAP kimetengeneza ukurasa wao katika tovuti .

yap

Furthermore the children are involved in society through the Tanzania Education Network (TEN/MET). This leads to participation in different events, such as being a part of a demonstration for better education, with our “headboy” giving a speech to more than 500 participants.

In order to reach the younger population, the youth awareness programme have created their own page on facebook.